• Muonekano wa Bonde la Kilombero unapokuwa juu ya Mlima Udzungwa

  • Madiwani wa halmashauri ya wilaya ya kilombero wakila kiapo katika mkutano wa kwanza wa baraza la madiwani madiwani

  • Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero wakiapishwa katika kikao cha kwanza cha Baraza la Madiwani

  • Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dr Kebwe Stephen Kebwe (aliyesimama) akimkaribisha waziri wa ardhi,nyumba na makazi wilayani Kilombero ili kusikiliza kero za migogoro ya ardhi ya wananchi wa Kilombero

  • Afisa Ardhi Mteule, Bi. Syabumi Mwaipopo akitolea ufafanuzi juu ya umiliki halali wa shamba la NDC Mang'ula kwa Mh waziri wa Ardhi, nyumba na makazi.

  • Waziri wa Ardhi,nyumba na Makakazi Mh. William Vangimembe Lukuvi (wa kwanza kushoto) akisikiliza kero za migogoro ya ardhi ya wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero

Hatimiliki © 2014 Ofisi ya Kamishna Wilaya ya Kilombero Haki Zote Zimehifadhiwa